Preloader Close
Walimu wakipokea Msaada wa chakula

Walimu wakipokea Msaada wa chakula

Walimu na Uongozi wa school ya furaha wapokea msaada wa chakula kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi pamoja na walimu wanaokaa hapo school kwa ajili ya kujikumu na maisha ya school kutoka kwa wahisani